Magufuli akutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kwa Ukanda wa Africa

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA KWA UKANDA WA AFRIKA HAFEZ GHANEM IKULU JIJINI DAR ES SALAAM-BENKI HIYO IMERIDHIA KUTOA DOLA MILIONI 300 KWA TANZANIA.NOVEMBA 16,2018


Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Afrika Hafez Ghanem mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Nje Ya Box

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi