Hatimaye Mshindi wa BSS 2021 akabidhiwa rasmi zawadi yake

 


Baada ya meneno kuwa mengi kuhusu tuzo za BSS miaka ya nyuma, hatimaye leo tarehe10 mwezi wa pili mwaka 2022 ambapo Mshindi wa Bongo Star Search, Yohana Braison Mwayinga amepokea mkwanja wake wa Shilingi Milioni 10 ikiwa ni zawadi ya mshindi wa kwanza pamoja na mshindi wa pili na mshindi wa tatu.

Hafla hiyo fupi ya makabidhiano  yalifanyika katika tawi la Benki ya CRDB jijini Dar es Salaam.

Unaweza ukabonyeza play kushuhudia yale yaliyojiri pamoja na alichokizungumza Madam Rita.

Nje Ya Box

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi