Wachina 77 wakamatwa nchini KENYA kwa uhalifu wa Kimtandao


 Raia wa China wamekuwa wakipatikana sehemu nyingi Duniani tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma na kumekuwa na tetesi kutoka sehemu mbalimbali Duniani ikiwemo Marekani ambako

Jeshi la Polisi Kenya linawashikilia watu 77 wenye asili ya China ambapo kundi hilo inaaminika kuwa linajihusisha na udanganyifu wa hali ya juu katika masuala ya Internet  CID Ndegwa Muhoro amesema uchunguzi wa awali umeonyesha wanawake na wanaume walihusika katika kutakatisha hela chafu na kuvamia Websites.

Operation iliyofanywa na Jeshi la Polisi waligundua pia sehemu ambayo watuhumiwa hao wamekuwa wakitengeneza kadi ndogo za ATM mashine.

Balozi wa China Nchini Kenya Liu Xianfa, amesema aliitwa na Waziri wa Mambo ya Nje siku ya alhamisi kumhoji kama Serikali yao inahusika na shughuli za kikundi hicho, ambacho wengi wao hawawezi kuongee kiingereza.

Nje Ya Box

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi