Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ahutubia katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji -Dubai

 

Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania DKT Samia  Suluhu Hassan alipata nafasi ya kuonana na Wafanyabiashara mbalimbali raia  wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) waishio huko na kuweza zungumza mambo menge yenye kkuhusu maendeleo na uchumi wa taifa la Tanzania huku akiwasihi watanzania hao na wengineo walioko nchi nyingine kujikita katika kuwekeza ndani ya Tanzania kwani hakuna mwenye nia njema atakaye toka nchi nyingine na kuja kuwekeza kwa faida ya watanzania.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji   kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.

Nje Ya Box

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi