WIZKID Aitakia Tanzania Heri ya SIKU YA KUPATA UHURU


Watu maarufu ndani ya Tanzania wamekuwa wakituma pongezi zao kwa watanzania wote katika kusherekea siku hii muhimu ya kitaifa ambapo imetimia miaka 53 tangu kupatikana kwa uhuru wa taifa la Tanzania..

Katika kuwaunga mkono wa Tanzania, Msanii nguli kutokea nchini  Nigeria mwenye hit single ya Show You The Money maarufu kwa jina la Wizkid  kupitia account yake ya Twitter aliandika ujumbe wa kuitakia Tanzania sikukuu  ya Uhuru ‘Happy independence day Tanzania! Blessings" ikimaanisha heri ya siku ya uhuru wa taifa la Tanzania. Mbarikiwe.


Link ya Tweet Hiyo ni: https://twitter.com/wizkidayo/status/542245895803506689?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E542245895803506689%7Ctwgr%5E851b77c8222ca9a22d3c471a88023d045a70c943%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fmillardayo.com%2Fuhuruday%2F

Nje Ya Box

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi